Saturday, August 19, 2017

House on Sale / Nyumba Inauzwa

Nyumba Inauzwa maeneo ya Buguruni, mtaa wa  Bastula


Nyumba ina Self Contained Mbili (Chumba, Sebule na Bafu)

Fremu za maduka (Kama zinavoonekana kenye picha)

Nyumba ipo barabarani, eneo la kibiashara.

Wasiliana na Bw. Omari Mpemba kwa namba ya Simu ili upate maelezo zaidi :

+255 658 829 175


Picha ni kama zifuatavyo!

Mtaa wa Bastula
















Varanda na Mlango wa Uani

Chumba cha Kulala na Sebule
Uwani na Chumba cha Kulala

Choo na Bafu

0 comments:

Post a Comment

Your comment is a Treasure to us.